Dada Yasinta. Nashukuru saaana kwa kuweka swali lako. Kusema hiyo ni Rangi ya ma-rasta wanakosea. Kuhusianishwa kwao na imani za Urasta ni kwa kuwa wao wanaamini kuwa Afrika ndio kwao na mababu zao waliteswa saana katika harakati za utumwa. Lakini ukweli wa Rangi hizo ni juu ya kuenzi jitihada za ukombozi wa Afrika. Na ufafanuzi wake ni kama ifuatavyo. GREEN is for the Land (Mama Africa), Yellow is for the Minerals they Looted, Red is for the blood they shed and Black is for the People. That's all. Blessings Dada
Aise asante sana kaka, pia tafsiri yake inafanana na rangi za bendera ya TZ kasoro nyekundu. kwani badala yake ipo ile ya blu ambayo tafsiri yake ni maji. kazi kweli kweli
Dada Yasinta.
ReplyDeleteNashukuru saaana kwa kuweka swali lako. Kusema hiyo ni Rangi ya ma-rasta wanakosea. Kuhusianishwa kwao na imani za Urasta ni kwa kuwa wao wanaamini kuwa Afrika ndio kwao na mababu zao waliteswa saana katika harakati za utumwa. Lakini ukweli wa Rangi hizo ni juu ya kuenzi jitihada za ukombozi wa Afrika. Na ufafanuzi wake ni kama ifuatavyo. GREEN is for the Land (Mama Africa), Yellow is for the Minerals they Looted, Red is for the blood they shed and Black is for the People.
That's all.
Blessings Dada
Aise asante sana kaka, pia tafsiri yake inafanana na rangi za bendera ya TZ kasoro nyekundu. kwani badala yake ipo ile ya blu ambayo tafsiri yake ni maji. kazi kweli kweli
ReplyDeleteNi kweli kabisa Blue ni maji ambayo leo hi ndio yanayoanza kuwazoa watuhumiwa wa EPA
ReplyDelete