Tuesday, November 25, 2008

USAFIRI WA BAISKELI NI RAHISI ZAIDI

Karibuni wateja kukodisha baiskeli ni bei rahisi tu.

3 comments:

  1. baiskeli ni usafiri mzuri hauhitaji mafuta ni ujuzi wako tu

    ReplyDelete
  2. Baiskeli, mimi ndio usafiri wangu kwani huhitaji kusubiri foleni ni kupita tu raha sana kutumia baiskeli.

    ReplyDelete
  3. naitwa erick ezekiel
    napenda kuendesha baiskeli

    kwa kweli baiskeli ni usafiri mzuri
    na rahisi.

    unatakiwa kuwa na afya njema
    na kufuata sheria za usalama barabarani.
    ni njia zuri ya kupunguza uchafuzi wa hewa.

    lakini nataka kujua historia ya baiskeli kwa kifupi sana.

    kama kuna mtu anafahamu
    tafadhali nitumie kwenye imail
    itserick@extcite.com

    ReplyDelete