Thursday, November 6, 2008

SAMAKI+MBOGA+CHAKULA



Na bila kituweo huwezi kula ugali. Haya ndugu zangu karibuni ugali na samaki wa kupaka.

9 comments:

  1. Umenikumbusha mbali sana samaki ugali au samaki wali acha kabisa.

    ReplyDelete
  2. sio wewe tu. Haya karibu sana na usiogope kuna wali pia ugali wa mahindi

    ReplyDelete
  3. aise yaani unatufurahisha sana huyosamaki amenikumbushia kwa bibi yangu anaitwa Mwananikodemo anapenda sana kunipikia kitu kama hicho

    ReplyDelete
  4. basi una bahati kuwa na bibi kama huyo. Msalimie mwambie nitakuja kumtembelea kwani hicho ni chakula changu kikuu

    ReplyDelete
  5. Kweli hapo huyo samaki umpate na ugali,usipime

    ReplyDelete
  6. Kuna watu bila ugali tunajisikia kama hatujala bado. Ila mie siupendi ugali wa hotelini. Raha ya ugali upike mwenyewe bwana!

    ReplyDelete
  7. @Yasita: Usitutie matamanioni!Sio tabia nzuri kututamanisha:_)

    ReplyDelete
  8. Basi wote nawakaribisheni sana Ruhuwiko mtakula mpaka mtasaza

    ReplyDelete