Thursday, November 6, 2008

KUTWANGA MIHOGO +CHAKULA




Hii kazi ndugu zanguni ni kazi muhimu sana. Hasa wakati ule mimi au sisi wengine tuluipokuwa wadogo. Bila hivyo huwezi kula kwani hizi mashine za kusaga hazikuwepo miaka ile ya -70, 80 na 90. Kwa hiyo picha hii imenikumbusha mbali sana wakati wa utoto wangu.Asante Lundu Nyasa kwa picha. nimechukua bila kuomba

2 comments:

  1. Yasinta dada yangu nafurahi sana jinsi tunavyo blogu yaani katika pichahiyo hatamimi nimekumbuka mbali sana yaani wewe acha tu! keep it up kwani unatukumbushia sana

    ReplyDelete
  2. Asante sana. Eeeh bwana we kutwanga mihogo ndo zilikuwa zangu usoni kwate kweupe tulikuwa tunacheza kupaka poda

    ReplyDelete