Saturday, November 15, 2008

JE? HAPA NAPENDEZA?




Hapa mwenzenu nilikuwa Saudi Arabia, wanawake wote wanavaa hivi kazi kweli kweli

5 comments:

  1. Ilikutoa sana Yasinta japo kuna wenzet wanadhani kuvaa hivyo ni dini kumbe ni utamaduni wa wenzetu.

    Blogu yako inatumbusha mara nyingi sana kukumbuka historia yetu. Nakupa mkono kwa hilo.

    ReplyDelete
  2. Asante sana kaka Bwaya. Unajua napenda sana utamaduni wetu hata kuliko mambo au mavazi ya kisasa

    ReplyDelete
  3. jamani,ibesa mau, ibesa dadi vagosi va mundela ibesaaa ena a enaa!!!
    jamani ibesa mau ibesa dadi vadala va mundela ena enaa ena ena!!!
    Kwamwali pekendula pekendu, kamwali pekendula pekendu pekendu!!! ooooooooh lya lya lya lya lya wamwana veve ukuninogesa mwenga lya lya lya lya lya lya lya ooooooolululululu.

    JAMANI MSISHANGAE AU VIPI
    yaani hap imenikuna sana yaani ninapenda sana heshima hii kuliko kuvaa visuluwali vimebana hadi chup*** tunaziona na shang*** nje nje we acha tu. Natamani ungelikuwwepo hapa hapa japo nikupe zawadi lakini ngoja niweka zawadi yako hapa usitiea shaka dadangu mmm nikupe BUSU LA 2008 n la kufungia mwaka mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
    mwenga ukuninogesa sana, hidayi nikuwoni hoti.

    ReplyDelete
  4. jamani bado nashindwa kunena sana. oooooolulululu lya lyalya lya lya
    haya gonayi bwina ukotokulemala sawa?
    kweli thamani ya mwanamke ni vile alivyo siyo kutuvalia vibata ushungu vinavyonyesha vitovu na makalio halafu wanasema sijui mitindo. NIMEKUMBUKA kama uatdumu hivi hakika tutakuwa pamoja milele lakini yale mapensi nyanya sijui kama siyo mapenzi nyanya na ....vinguo vile sijui.
    UTANIUDHIIIIIIIIIIII

    ReplyDelete
  5. Markus hapo umetua mpya mpaka ibesa mau mmh asante sana kwani nimekumbuka mbali sana na hapa nilipo nimeshaanza kutimka bila ngoma wala nini mpaka lukela bila kuasahau myakaya hapo hapo lya lya lya raha sana. Asante kwa WIMBO

    ReplyDelete