Wednesday, October 8, 2008

UZURI+UPENDO+MAPENZI

Jamani tuache uongo hapa mahali kwa kweli nimepapenda sana. Angalia jinsi palivyo, raha sana.

2 comments:

  1. nimegundua kumbe unapenda sehemu zenye dalili za ulanzi,komoni na kadhali. ha ha ha ha weweeee mambo iko hukuuuu. jamani muoneni dada yetu anapenda maeneo hayo yaani nzuriiiii lakini acha ulazni wako hapo nyasa haturuhusu kabisa tafadhali

    ReplyDelete
  2. we vipi nani kakuambia mi nakunywa kwanza hata siku moja sijawahi kuonja ulanzi wala pombe. Au unataka nisije nyasa nini. Unajua hiyo sehemu kwa kweli umenikuna sana ache nikaishi hapo bwana au angalao kusalimia tu.

    ReplyDelete