Monday, October 6, 2008

NYWELE+UZURI+NDESANJO

Hawa ni wafuasi wa vuguvugu la wapigania uhuru nchini Kenya Maumau. Hizo nywele ni zoa

Ndesanjo akiwa Dakar
Asante kwa picha hizi nzuri kaka Ndesanjo

3 comments:

  1. mmm nimekumbuka Ras Luihamu ameacha kublogu sabau mwalimu wangu Ndesanjo alisema yeye siyo rasta. nadhani wengi watashangaa kwanini alisema hivyo lakini mimi nilimulewa kwamba kuna tofauti ya kufuga rasta ka aupenzi tu na kuwa muumini wa rasta. basi jamaa kaacha kublogu lakini tunamwomba arudi hata ile mada yake ya mwisho ya 'ndesnjo wewe ni rasta au rasta buisness' ilikuwa tamu lakini majibu ya ndesanjo yalikuwa moto mkali. Yasinta umeisoma hiyo hiyo? itaufute jikomboe pale ingawa iko mbali tafuta usome itikadi,imani na kuamini mambo

    ReplyDelete
  2. halafu we mwalimu wangu ndesanjo hiyo tabia ya kukunja uso imeanza lini, ebu jieleze kwanza

    ReplyDelete
  3. Great blog! Do you have any helpful hints for aspiring writers?
    I'm planning to start my own blog soon but I'm a little lost
    on everything. Would you advise starting with a free platform
    like Wordpress or go for a paid option? There are so many
    options out there that I'm completely overwhelmed .. Any suggestions? Kudos!

    Feel free to visit my web site; pracownia reklamy lubin

    ReplyDelete