Tuesday, October 14, 2008

NYERERE AKIWA NA MAMA YAKE NA MKEWE


Maisha kweli ni safari ndefu sana. Wengine safari zao zinakuwa ndefu na wengine huwa fupi. Na wengine safari zao huwa za furaha wengine za matatizo.

1 comment:

  1. Wengine wamajariwa na mungu angalia hapa Mama na kijana wake wote wana mvi.

    ReplyDelete