Friday, October 31, 2008

MPIRA WA MIGUU

Hapa ni wachezaji maalufu wa hapa Sweden ni Zlatan Iblahimovic na Henrik Larsson mwaka 2006

2 comments:

  1. Zlatan mchezaji mzuri sana LAKINI Larsson ni mahiri na zaidi ya Zlatan. LARSSON mzaliwa Cape Verde, mtoto wa afrika huyo yaani sijui ilikuwaje akajikuta yupo huko ughaibuni, lakini poa LARSSON ni MWANZO-MWISHO

    ReplyDelete
  2. kama kawaida Waafrika kwa soka ndio wenyewe. Mmh sikujua kama alizaliwa Cape Verde. asante kwa taarifa

    ReplyDelete