Monday, October 13, 2008

KUJITEGEMEA

Nipo sokoni nauza dagaa lakini tangu asubuhi sijapata hata mteja mmoja. Maisha ya kutafuta pesa kazi kweli


1 comment:

  1. jamani nioneoneeni huruma angalao nikanunue chapati ili nilale usingizi

    ReplyDelete