Monday, October 13, 2008

JIKO LA MAFIGA MATATU


Leo nimekumbuka wakati nilipokuwa mdogo kazi za jikoni ndio zilikuwa zangu kuchochea mboga(maharage) kupika ugali nk

1 comment:

  1. waafrika tusisahau utamaduni wetu, tusifuate hayo majiko mengine

    ReplyDelete