Habari zenu watu wa Tanzania(Bongo) leo nimekuja kuwatembelea, kutoa jasho kidogo kwani hapa swedeni baridi imeanza sasa. Bahati yangu naweza kuwa Tanzania (Bongo) wakati wa baridi ha ha ha ha haaaaaaaa.
Ni kweli Edo sasa ndio watu wote watapotea kila mtu ndani tu. Mnajua nakumbuka ule wimbo wa Remmy Ongala usemao narudi nyumbani nakwenda kula nakola la nanyungu, kwani karibuni tu ndio kutakuwa ni wakati wake na mahindi ya kuchoma
Karibu dada home,kuna joto ile mbaya me huwaga napenda kuchat na watu wakipande hcho cha nchi za scand,nikiwauliza kitu gani ambacho mnakimic wanasema joto,kwahyo sister karibu home na uwe tayari kukutana na ma bad newz na ma good newz kwa kiasi.
kweli huku nchi ya scand...kweli mambo ndivyo sivyo..
ReplyDeleteNdio kipindi Yasinta asilimia kubwa ya watu nyuso zao unaziona hakuna kuatabasamu kama ilivyokuwa kiangazi...
Na ni kipindi watu wanaanza kupata ze home
Ni kweli Edo sasa ndio watu wote watapotea kila mtu ndani tu. Mnajua nakumbuka ule wimbo wa Remmy Ongala usemao narudi nyumbani nakwenda kula nakola la nanyungu, kwani karibuni tu ndio kutakuwa ni wakati wake na mahindi ya kuchoma
ReplyDeleteKaribu dada home,kuna joto ile mbaya me huwaga napenda kuchat na watu wakipande hcho cha nchi za scand,nikiwauliza kitu gani ambacho mnakimic wanasema joto,kwahyo sister karibu home na uwe tayari kukutana na ma bad newz na ma good newz kwa kiasi.
ReplyDeleteAsante sana shayo mbona nikija huko kipindi hiki nitasahau kurudi
ReplyDeleteHamna mbona utarudi tu,unajua Tz kama haujapazoea lazma utapachoka,kwani mtu anayeishi Tz anakua ameshazoea shida.
ReplyDeletesawa, lakiniasikudanganye mtu, hakuna mru asikuwa na shida hapa duniani. Na kuvumilia shida sio miujiza
ReplyDelete