Tuesday, September 9, 2008

UJUMBE WA LEO

FURAHA
Kila siku unaweza kumfanya mtu awe na furaha! Leo wewe umenifanya mimi niwe na furaha.
GLÄDJE= FURAHA (KISWIDI)
Varje dag kan du göra någon glad! Igad har du gjort mig glad

1 comment:

  1. Dada yangu mzima wewe.
    sio kawaida yako kupotea hivyo...

    NATUMAINI U SALAMA.

    nimepita kukujulia hali.

    siku njema

    ReplyDelete