Tuesday, September 16, 2008

MAISHA


Hapa ilikuwa mwishoni mwa mwezi wa nne mpaka katikati ya mwezi wa tano. Mimi na hapo ni mama mkwe wangu. Najua mtashangaa kwa nini natembelea magongo, sawa nilikuwa nimefanyiwa operesheni ya mguu. Ilikuwa kazi kweli kweli, ila sasa poa kuna wakati napata maumivu kwa mbaliiiiiiiiii.

4 comments:

  1. Pole sana, naamini utapona kabisa hata maumivu ya mbali kabisaaaaa.

    ReplyDelete
  2. Nilikuombea! Hujapona bado?

    ReplyDelete
  3. bado ndugu yangu yaani yale maumivu ya mbaliiiii kiasi kwamba mara nyingine nashindwa kukimbia

    ReplyDelete