Leo nimmewapelekeni mpaka Lituhi wengi labda mmefika
Hili ni basi ambali linasafiri kila siku Songea -Lituhi
Hapa ni kijijini Lituhi gengeni
Ramani ya Ngelenge na hapo juu unaona ni manda halafu unaona ziwa nyasa hapo
Hii ni Sehemu ya kupack baiskeli hapa Manda
Ni kawaida tu kubeba vitu kichwani
Lakini angalia hapa kazi ipo wataweza hawa kweli?
LovIS4SICk
ReplyDeleteKwakweli siamini kama kweli ni hakika haWA WATU WANAFANYA KAZI HIYO YA KUUZA NDIZI NA KUCHOTA MAJI KAMA HIVY!!!!!! DADA YANGU YASINTA KWA SABABU WEWE UKO HUKO NEBU NITAHABARISHE VIZURI DADA YANGU
Ndiyo Fita hao nia yao ni kujifunza kubeba vitu kichwani lakini kutokana na nywele zo zinateleza huwa inakuwa kazi kweli ndio maana hapo wameshikilia kweli.
ReplyDelete