Bila kuvuka hapa basi hafiki nyumbani ,ila ningekuwa mimi sijui kwani nahisi kuna mamba hapa.
Kusafirisha cementi kwa mkokoteni. Umoja ni nguvu unyonge ni uzaifu. Kwani angalia wanavyoshiriana hivi ndivyo inavyotakiwa watu wote wawe.
Hapa ni mto Ruhuhu, Kufika ktika kijiji cha Lituhi ni lazima wavuke hapa na hapo wanasafirisha cementi mifuko 216. Watu wana imani sana.
Hakuna kulala kazi na mtu, hapa wanachonga mtumbwa kwa kutumia mti wa mwembe. Kwa hiyo mti wa mwembe sio kupata embe tu hapana mitumbwi pia.
heee haya mambo vipi? hivi naota au? mbona sielewi.... lakini oooooh sawa nimelewa kumbe kuna haya mambo maeneo kama hayo. asante kwa kutujulisha
ReplyDelete