Sunday, September 14, 2008

MAANDALIZI YA LONDONI 2012

...............

Tutaona nani ataweza huo mwaka. wote tupo katika mazoezi makali sana mtajiju. Au labda niseme karibuni kujiunga nasi.

2 comments:

  1. nyie vijana hakika mama na mwana mnachezea moto, yaani ninakula kila aina ya dawa kipindi hiki ili niweze kuwafunika huko London 2012. Ngojeni kwanza kwani mnaweza kukimbia mita ngapi?

    ReplyDelete
  2. basi umeshindwa kama unatumia dawa kwani sisi hatutumii hizo dawa ni uwezo wetu tu kuweza kukimbia ha ha ha nihekili kweli lelu

    ReplyDelete