Friday, August 29, 2008

AGOSTI 29, 2008 KUMBUKUMBU/NDOTO

Tosamaganga Seminary





Baba yangu amesoma hapa alitaka kuwa padre. kwa hiyo mimi ningekuwepo leo.



Misha ya utawa




Leo nimekuwa najiuliza je ningeweza kweli kuishi maisha ya utawa?

2 comments:

  1. unanikumbusha mbali sana,enzi zile nikiwa na ndoto za kuwa mtawa. lakini yote yamekwisha sasa mmm najisikia huzuni sana

    ReplyDelete