Wednesday, August 27, 2008

AGOSTI 27, 2008 JIPENDE MWENYEWE

1992



1993


2008



Leo sisemi sana.

7 comments:

  1. Nimeipenda sana ila picha ya 1993 pamoja na background yake, sijui ilikuwa kiangazi?
    Ingawa hujabadilika sana hata baada ya kupata watoto wawili naona bado mwili una upa control nzuri, Hongera

    ReplyDelete
  2. uhongise, kwa wasiojua maana yake asante kwa kibena

    ReplyDelete
  3. nami narudia Uhongise kwa picha nzuri sana.

    sikú zote nisikiapo na kuona watawa,nakumbuka sana ndoto zangu za siku moja kuwa padre .na si tu padre bali mtyumishi wa wa jamii.

    ila nilipofika semaira nikasoma maneno kuna walioitwa na waliochanguliwa

    ReplyDelete
  4. Jamani hebu muandike kiswahili sanifu,msichanganye lugha mbili hapa{code mixing,code switching au alteration}. maana naona hata mistari ya lugha inatufanya tusiojua lugha hiyo tusijue au mna misamiati kidogo?

    Sitanii hiyo picha ya awali inaonyesha binti amekolea,mwali,bi harusi,msichana hasa,amenawili,mwili unasumbua madume, hivi mumewahi kuiona picha za madonna akiwa kijana sana? basi nimeikumbuka picha hiyo. jamani nitaipataje?
    Dada Yasinta una kumbukumbu inayonikuna sana enzi unavaa skuna,vipi laizoni huku vaa? angalia sketi imefungwa vema,mkanda umeonyesha kiuno bila mfupa yaani kama dondora/nyigu. hakika uliwaha yani naona sasa umri unamaanisha kweli bado una nguvu sana. na kwakuwa unafanya mazoezi ya kukimbia basi naanimi utastawi kwa muda mrefu sana

    ReplyDelete
  5. 2008 naibebesha mzigo wa kura!!

    ReplyDelete