Mpunga
Kanisa
Najua wote mtashangaa sawa mnaruhusiwa kushangaa. Kwani mimi leo nimetembelea kijiji kimoja kiitwacho Ifinga, Kijiji hiki ni maalufu sana kwa kilimo cha mpunga. Kwa hiyo ukifika/tembea Ifinga chukua na unga wako usije ukatamani ugali kwani wao wanakula wali kila siku siku wanayokula ugali ni sikuuu au jumapili tu.

The Opposite is true, yaani wewe ukija kijijini kwangu Wangama chakula kikuu ni ugali na wali huliwa siku za sikukuu za harusi na Christmas, so kama unakuja kutoka Ifinga uje na mchele wako kwenye kiroba ingawa naamini utafurahi sana maana utakula ugali hadi unenepe, maana kila siku ni sikukuuu, raha sana
ReplyDelete