Sunday, August 10, 2008

AGOSTI 10,2008 KUMBUKUMBU

Angekuwa sweden huyu angaumia kweli na baridi.Kwani hapa wakati wa joto ni kama makambako.

2 comments:

  1. jama mbona simjui? halafu unatukosehs auhondo kwani hata jina lake hatulijui yupo tu kama mfuasi wa Malcom X.Halafu hapa nyasa tunatafuta wenye angalau msuli wa kuvua samaki..kwahiyo hebu mwombe kama anaweza kupalaza mtumbwi angalau kidogo. jina lake nani vile? mwambie kuna ajira hapa nyasa kama anaweza akuambie maana hako kamsuli kake ka mkononi mmmm hebu oanaaaa lakini pengine hiyo picha tu ianonyesha hivyo au

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli hata mimi sijui jina lake ila nimeipenda tu hii picha kwa hiyo sitaweza kumwuuliza kama anataka kazi pia jina lake nani SORRY BROTHER.

    ReplyDelete