Friday, August 8, 2008

8,8 .2008 SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE








Mwenzenu nilisahau kabisa kuwa leo ni sikukuu ya nane nane. Kuna rafiki kanikumbusha asante sana kwani bila wakulima hatungekula.

2 comments:

  1. Unanikumbusha mbali na hicho kijembe yaani acha tu, enzi zangu nilikuwa natamani kila siku iwe shule kwani jumamosi mama alikuwa anatupeleka shamba moja asubuhi hadi kumi na mbili jioni, chai na lunch hukohuko, hakuna kukata kona. Acha tu

    Lazima wakulima vijijini kilimo kibadilike na kutumia mashine kama tractors ili wajikomboe ikishindikana hata jembe la kukokotwa na ng'ombe au punda.

    Wakulima hoyeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  2. hoyeeeeeeeeee mhh hakuna kitu nilikuwa sikipendi kama kulima kwani hata mimi ilikuwa hivyo hivyo tena wakati mwingine hupati hata chai. Chai maembe.

    ReplyDelete