Thursday, July 31, 2008

JULAI 31, 2008 KWAYA TENA


Mwenzenu leo nimefurahi sana nimeiimba kwa kiswahili nyimba za kumsifu mungu. Yaani raha kweli nimejikuta nipo nyumbani nimesahau kutamani nyumbani. Mmmm najua wengi mnaona wivu mtajiju.

1 comment:

  1. nimewaona mmenawiri kweli leo kwani nadhani nyimbo zimestawisha akili zetu hapo siyo mchezo kwani mnaonyesha mnautamu wa na utajiri wa nyimbo.

    ReplyDelete