Sunday, July 27, 2008

JULAI 27,2008 MATETEREKA


Miaka 17 iliyopita niliishi Matetereka na hapa katika picha ni majirani zangu "babu na bibi yangu" Lakini sasa nasikitika babu ameniacha nimepata habari.

2 comments:

  1. nays to meet you

    ReplyDelete
  2. Pole sana kwa kuachwa na babu yako, naamini upendo wa babu ni wa tofauti sana hivyo umepoteza mtu wa thamani sana kwa maisha yako.

    Siku njema

    ReplyDelete