Asante sana kwa zawadi ya ticket kwenda Njombe pamoja na ugali na Nyamuza yaani acha tu, kwanza Nyamuza in radha tamu ajabu pia upikaji wake rahisi na pia ina virutubisho vya uhakika na zaidi kuliko yote haipatikani popote kwenye nchi zilizoendelea. Nimefurahi sana kwa hii zawadi na nitakuwa najitahidi sana kujibu vizuri maswali yako ili nifaidi maana zawadi zako nimezipenda kwa kweli.
Hapo ni Jimboni.
ReplyDeleteNaamini nimepata na nastahili kupewa zawadi.
umepata nusu je ni jimbo gani? hii ndiyo nilitaka kujua
ReplyDeleteOk,
ReplyDeleteJibu la swali lako ni Jimbo la Songea mjini. Naamini sasa naweza kukutumia address unitumie zawadi yangu.
Haya umeweza makofi kwa wewe na zawadi yako ni tiketi kwende Njombe kula ugali na nyamuza au unasemaje zawadi nzuri au
ReplyDeleteDada Yasinta,
ReplyDeleteAsante sana kwa zawadi ya ticket kwenda Njombe pamoja na ugali na Nyamuza yaani acha tu, kwanza Nyamuza in radha tamu ajabu pia upikaji wake rahisi na pia ina virutubisho vya uhakika na zaidi kuliko yote haipatikani popote kwenye nchi zilizoendelea.
Nimefurahi sana kwa hii zawadi na nitakuwa najitahidi sana kujibu vizuri maswali yako ili nifaidi maana zawadi zako nimezipenda kwa kweli.
Upendo daima.