Friday, July 11, 2008

JULAI 11, 2008 GAZANIA JINA LA UA

Mimi ni mpenzi sana wa maua. Leo katika kutembelea maduka ya maua nikaona ua hili nzuri kwa kweli sikuweza kuacha kulinunua kwa uzuri wake. Na zaidi Jina la ua lenyewe. Kwa kweli ni nzuri au wenzangu mnasemaje?








1 comment:

  1. Nimelipenda au hili kwa vili linaitwakaribu kama nchi yangu (Tan)(Ga)zania mmenipata au

    ReplyDelete