We acha kutufedhehesha hapa wadudu maana yake nini?Uliza tukusaidie kwanini unakejeli mbona zetu wanyasa?Ni hivi hawa ni kumbikumbi ambao ulaji wake umeshamiri sana Nyasa na makabila meingine hakika ni watamu sana siyo wadudu kama unavyodhani sawa,umeelewa mkubwa wangu?
nimegundua kumbe wengi hawataki kuuliza bali wanatoa majibu,nakwambia ungekuwa karibu ningekwambia uombe radhi!sawa mkubwa wangu lakini usijali sana huu ni utamu sana siyo wadudu kama sisimizi
Sio wadudu tu?
ReplyDeleteWe acha kutufedhehesha hapa wadudu maana yake nini?Uliza tukusaidie kwanini unakejeli mbona zetu wanyasa?Ni hivi hawa ni kumbikumbi ambao ulaji wake umeshamiri sana Nyasa na makabila meingine hakika ni watamu sana siyo wadudu kama unavyodhani sawa,umeelewa mkubwa wangu?
ReplyDeletenimegundua kumbe wengi hawataki kuuliza bali wanatoa majibu,nakwambia ungekuwa karibu ningekwambia uombe radhi!sawa mkubwa wangu lakini usijali sana huu ni utamu sana siyo wadudu kama sisimizi
ReplyDelete