Thursday, July 31, 2008

31 JULAI 2008 MJI MKUU AU?

mwenzeni leo nimekuwa bungeni. Nawaona jinsi mnavyoona wivu

2 comments:

  1. Unajuan jina la utani la mji wa Dodoma?Hujui tu mpaka leo? Ni hivi huu mji unaitwa kwa jina la utani 'machinjio' kwani mara nyingi maamuzi ya kisiasa hufanyika hapo uwe uamuzi wa kummaliza mwanasiasa au uamuzi wa kisiasa na majungu ya kisiasa

    ReplyDelete
  2. Ni kweli nilikuwa sijui hilo jina la utani asante nimejifunza.

    ReplyDelete