Bila kusahau kumshukuru mungu
Mu ngu ibariki Tanzania,
Dumisha Uhuru na Umoja,
Wake kwa waume ume na watoto,
Mungu ibariki,
Tanzania na watu wake,
Ibariki Tanzania,
Ibariki Tanzania,
Tubariki Watoto wa Tanzania.
najua mtasema nimechanganyikiwa kwani kila mtu TZ anaweza kuimba wimbo wa taifa sawa lakini mimi leo nimekumbuka sana Tanzania yengu. Naipenda sana nchi yangu Tanzania.
Na; Yasinta Ngonyani
Tanzania namba moja,upendo,amani,hekima,heshima ndiyo nguzo zetu.Hata kama tunashida kiasi gani lakini amani yetu na utulivu vinatupatia hekima na uwezo wa kuvumiliana
ReplyDeleteWimbo Mzuri sana, mimi ninau penda, ninaimba kila asubui.
ReplyDelete