Saturday, June 14, 2008

Juni14,2008 Gari


Ya nini kupoteza pesa kuwanunulia watoto vifaa vya kuchezea wakati inawezekana kutengeneza. Yaani hapo vitu vinavyohitajika ni dungu baada ya mafuta ya kula kwisha, mwanzi, ndala zilizochoka kwa ajili ya matairi bila kusahau ufundi. Haya basi kimbia gari halingoji mtu.............tena bei nafuu kabisa.
Na; Yasinta Ngonyani

1 comment:

  1. Karibu Yasinta kwenye ulimwengu wa blogu!

    ReplyDelete