tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post991824789391690368..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: PICHA YA WIKI: AMA KWELI UKITAKA KUPENDEZA LAZIMA MAUMIVU YAWE.....Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-37340691753390032382015-09-02T11:49:17.011+02:002015-09-02T11:49:17.011+02:00Dada yangu Mama Wane! Duh umenikumbusha mbali san...Dada yangu Mama Wane! Duh umenikumbusha mbali sana ZAA-ZUU yaani iliwaka moto hiyo... hakika tumetoka mbali....halafu mnakumbuka kuna mti fulani hivi huku kwetu Ruvuma tulikuwa tukiukita mdawa, ulikuwa ukitumika kupiga meno yaani kama vile mswali ni mzizi wake..meno yanakuwa maupe na midomo inakuwa kama ulepaka lipstik.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-51680220457021398232015-08-24T16:49:03.581+02:002015-08-24T16:49:03.581+02:00Sorry ni Mama Wane jamani sio WAND.Pia urembo huo ...Sorry ni Mama Wane jamani sio WAND.Pia urembo huo nilioelezea hapo juu asili yake ni Kigoma.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-52472382970866490542015-08-24T16:46:00.523+02:002015-08-24T16:46:00.523+02:00Sisi tulikuwa tunapaka dawa ambayo ilikuwa inateng...Sisi tulikuwa tunapaka dawa ambayo ilikuwa inatengenezwa nyumbani.iliitwa ZAA-ZUU.ilikuwa hatar sana ni kama relaxer ya Kiswahili.pia ilikuwa ni RISK kwa sababu haina vipimo na madawa makali walikuwa wanatumia kuitengenezea.ukishamaliza kuweka hiyo dawa unapaka dawa nyingine iliitwa YOMBOO inafanya nywele kuwa nyeusi.<br />Basi wakati wa sikukuu weee tunapendezaje sasa.kweli tumetoka mbali sana.Mama Wandnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-75584962372974492362015-08-24T13:16:58.664+02:002015-08-24T13:16:58.664+02:00Duh! mie nakumbuka mama alikuwa akitumia kipande...Duh! mie nakumbuka mama alikuwa akitumia kipande cha chungu..kigae ama kweli watu tumetoka mbali. Lakini afadhali hii haina madhara kama tu hutaungua:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-45008881259465845002015-08-24T13:15:09.125+02:002015-08-24T13:15:09.125+02:00Aisee hii imenikumbusha mbali, tumeitumia sana enz...Aisee hii imenikumbusha mbali, tumeitumia sana enzi hizo huko kijijini<br />pamoja na vibati unatomboa matundu unatia mkaa, ilikuwa hatari kweli<br /> <br />Penina Simonnoreply@blogger.com