tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post9186318617294223762..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: PALE WAZAZI WANAPOWACHAGULIA WOTOTO/MABINTI ZAO WACHUMBA!!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-18284799038827950972013-08-29T22:23:02.998+02:002013-08-29T22:23:02.998+02:00Hana jinsi maji keshayavulia nguo hana budi kuyaog...Hana jinsi maji keshayavulia nguo hana budi kuyaoga, Ila namwonea huruma hasa kama alishapata nae watoto ndio atazidi kumsumbua/kumtesa. na kwa uzoefu nilio nao wanaume hao huwa hawajirekebishi baadae hata akiamua kuondoka huyo mwanaume anaweza kumfanyia kitu kibaya (hata kumuua).Penina Simonnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-43030039716023822412013-08-29T17:55:50.694+02:002013-08-29T17:55:50.694+02:00pole dada wa watu ndo hy bb ajfunze tena kutokana ...pole dada wa watu ndo hy bb ajfunze tena kutokana na makosa alyofanyaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-23870178340624044642013-08-29T16:11:56.186+02:002013-08-29T16:11:56.186+02:00Bint alikurupuka angeweka msimamo kwa baba yake wa...Bint alikurupuka angeweka msimamo kwa baba yake wala asingekataa ndoa ni watu wawili wazazi wanashirikiswa tu ili kutoa baraka lkn yy kamsikiliza baba ndio matatizo hayo yanampata arudi kwa baba yake amueleze kipigo anacho kipata kutoka kwa mwanaume wake maana kama walisha funga ndoa ya kanisa ndio mzigo wake huo mpaka kifoShalomnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-80611577267837816592013-08-29T02:32:49.608+02:002013-08-29T02:32:49.608+02:00Hii ni fundisho kwa mababa wenye tabia ya kulazimi...Hii ni fundisho kwa mababa wenye tabia ya kulazimisha mabinti zao kuolewa na wanaume wasiowajuwa/wasiowapenda. By Salumu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-92185160303795094982013-08-28T16:32:10.409+02:002013-08-28T16:32:10.409+02:00Ngoja nianze kutoa yangu niliyo nayo moyoni...Huyu...Ngoja nianze kutoa yangu niliyo nayo moyoni...Huyu dada amefanya kosa nionavyo mimi najua ni mila na daesturi lakini yeye ilibidi ausikilize moyo wake maana yeye ndiye atakayeishi na huyo MUME na si BABA. Sasa anagalia anapata mateso, baba yupo wapi?? hayupo....mmmmhhh naoana nina hasira hapa ngoja nitulie nitarudi tena....Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com