tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post9145705392990360423..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: NAWATAKIENI JIONI NJEMA WOTE NA WIMBO HUU!!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-34704014798134046492012-02-21T06:59:52.000+01:002012-02-21T06:59:52.000+01:00pole dada kwani jana shemeji na watoto hawakuwepo ...pole dada kwani jana shemeji na watoto hawakuwepo ndo uliona ukiwa najuwa kuna jambo ambalo ulikuwa unatafakari maisha kama maisha nivizuri kuyapa muda wa kuyatafakari kwani binadamu hatukamiliki hakuna asiye na mawazo au fikra hii ni dunia na dunia ni duara kama maisha yalivyo safari ndefu mimi nimesoma leo asubuhi hii nimependa uwepo wako nyumbani kwani nyumba ni mwanamke asubihi njemaISSACK CHE JIAHnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-26428261593089893302012-02-20T17:54:49.029+01:002012-02-20T17:54:49.029+01:00Pole sana kwa upweke maana hiyo nayo ni sehemu ya ...Pole sana kwa upweke maana hiyo nayo ni sehemu ya maisha na mafanikio na endelea kuserebuka na hilo sebene/lizombe ngoma Afrika.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.com