tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post8875280657396529014..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: NAPENDA KUWATAKIA WOTE MWISHO WA JUMA NA MUSIKI HUU HAYA TUFURAHI PAMOJAYasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-4595080368732457052012-01-14T17:26:12.129+01:002012-01-14T17:26:12.129+01:00Haswa ndo yeye mwalimu,Dakitari, hiyo miaka ya 90 ...Haswa ndo yeye mwalimu,Dakitari, hiyo miaka ya 90 ndo wakati niko mwaka wapil chuo cha sanaa bagamoyo,wakati huo walimu walikuwa na safari nyingi tu za sweden, kumbe miaka ya 90 ulikuwa sweden utakuwa umekaaa sana,hakika wewe ni mtanzania halisi kwa kuzaliwa endelea hivyohivyo mtu kwao. kaka ssam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-66585563633822304762012-01-14T15:28:38.929+01:002012-01-14T15:28:38.929+01:00Kaka Sam! unajua mimi napenda sana mambo ya asili ...Kaka Sam! unajua mimi napenda sana mambo ya asili kuanzia mziki, chakula, mavazi na bila kuasahau uasili yangu. Nimemkumbuka Zawose leo kwani nilishawahi kuonana naye ana kwa ana alipofika hapa miaka ya 1990...nafurahi kusikia kuwa umefurahi saaaaana ..<br />Kaka Baraka! nafurahi kama umekumbuka nyumbani na nilijua tu utasema na utakumbuka mengi...Ahsante<br />Edna ahsante ndugu wangu!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-34139144707581327532012-01-14T14:05:39.593+01:002012-01-14T14:05:39.593+01:00kwako pia mdada na familia yako.kwako pia mdada na familia yako.EDNAhttps://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-79689961236065210642012-01-14T13:57:37.016+01:002012-01-14T13:57:37.016+01:00Asante sana Dada yasinta, nawe pia Weekend njema s...Asante sana Dada yasinta, nawe pia Weekend njema sana na Familia yako yote. <br />Pia umenifurahisha sana, kwa mziki huu mzuri wa nyumbani kabisa, umenirudisha kwetu kabisa Ugogoni, nimekumbuka mengi leo. Asante!Baraka Chibiritihttps://www.blogger.com/profile/13676316022327553398noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-18293676600544725522012-01-14T13:29:23.965+01:002012-01-14T13:29:23.965+01:00Yasinta, leo umenifurahisha saaaaaaana,kwa kuniwek...Yasinta, leo umenifurahisha saaaaaaana,kwa kuniwekea/kutuwekea, nguli wa muziki wa kiasili,marehemu,mwalimu wangu,aliye fundisha chuo cha sanaa Bagamoyo,Dakitari Hukwe Zawose(apumuzike kwa amani). Mwaka 2002,niliweza kufanya manesho nafamilia ya Mwal,Zawose, huko Scotland, kwa muda wa miezi miwili . Familia hii imebarikiwa vipaji . pia shukrani kwa ujumbe wa leo, ni kweli usipo uliza hutajuwa maana,hutajuwa kitu. nahuu ujumbe ni muhimu sana kwa akina sisi tunaojifanya tuna juwa ili kuficha uthaifu wetu. je na usemi huu usemao" kuuliza si ujinga" je unaukweli ndani yake? wakati wa uhai wa baba yangu niliwahi kumsikia akisea kuuliza ni ujinga! nimekuwa natafakari juu ya usemi huo wa baba yangu,ambaye kwa taaluma alikuwa mwalimu,kuna mengi nime ya gundua katika usemii huu hasa katika hoja ya baba yangu. kaka s.sam mbogonoreply@blogger.com