tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post8839527706171492341..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: Hivi tunawezaje kuishi kwa matumizi yafuatayo kila mwezi?Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-56743295688072179482013-01-17T09:47:31.418+01:002013-01-17T09:47:31.418+01:00Mh!! Una mambo weye, haya yote umechukua muda gani...Mh!! Una mambo weye, haya yote umechukua muda gani kuyafikiria na kuyapanga.<br /> hongera ila kwa kweli tunaishi maisha magumu sana.<br /> Penina Simonnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-86194168934894046682013-01-16T05:24:47.695+01:002013-01-16T05:24:47.695+01:00Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake. Cha mu...Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake. Cha muhimu ni kuweka priorities katika matumizi na muhimu kuweka akiba atleast 30% ya income yako kujiandaa na emergency.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-7919811481299164792013-01-14T15:19:41.057+01:002013-01-14T15:19:41.057+01:00Mhh hizi changamoto za maisha na mafanikio.Mhh hizi changamoto za maisha na mafanikio.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-4301385881977489422013-01-14T14:51:35.044+01:002013-01-14T14:51:35.044+01:00Yasinta,kupanga ni kuchaguwa. siyo lazima utekelez...Yasinta,kupanga ni kuchaguwa. siyo lazima utekeleze kila kile unacho ombwa au kila msaada lazima usaidie tenda kwa kuzingatia uwezo wako nafasi yako na muda wako.pia usisahau katika maisha inabidi ujuwe kuwa wewe unataka nini,.kaka s.sam mbogonoreply@blogger.com