tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post8689628852805484369..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: KUANZA KUPOTEA KWA DESTURI YA UKARIBU WA KIFAMILIA KUNAVYOATHIRI MALEZI Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-570662505159537822016-08-14T12:54:58.576+02:002016-08-14T12:54:58.576+02:00Kaka Mwangoka! Tupo pamoja, kwa kweli naungana naw...Kaka Mwangoka! Tupo pamoja, kwa kweli naungana nawe kwa masikitiko makubwa sana maana huwa nashangaa sana pale nionapo haya mabadiliko napatwa na hasira sana kuona watu wanaokataa utamaduni wao....aahhh wacha niache maana nahisi hasira zaidi...Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-40403552701261438952016-08-13T12:10:00.477+02:002016-08-13T12:10:00.477+02:00Nimependa sana makala hii dada. Kweli maisha asili...Nimependa sana makala hii dada. Kweli maisha asilia ni mazuri sana na misingi yake ni mema daima, ila nasikitika yanapotea sasa kutokana na kukumbatia utandawaziNicky Mwangokahttps://www.blogger.com/profile/00332297597802872607noreply@blogger.com