tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post8662279402274357638..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: Tafakuri Ya Usiku; Je, Uwezo Wetu Wa Kufikiri Umepungua? Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-33526576443592636102012-09-06T02:33:43.788+02:002012-09-06T02:33:43.788+02:00Uwezo wetu wa kufikiri kama watanzania umekufa. He...Uwezo wetu wa kufikiri kama watanzania umekufa. Heri ungepungua huenda kuna siku ungeongezeka. Yaani tunauawa kama swala na watu tunaoishi nao kila siku halafu tunashindwa hata kuwalipizia kisasi! Angalia Kenya wanavyowalipizia kisasi kiasi kwamba ngoma ni droo. Ingawa si vizuri kuhimiza watu kufanya maasi, kama serikali tena inayokula na kuishi kwa kodi zao inayafanya wao wanachelea nini? Jogoo aliwafundisha vifaranga kunya ndani ashakum si matusi. Jino kwa jino na jicho kwa jicho ndipo kitaeleweka.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-51317895606121676282012-09-05T11:46:10.049+02:002012-09-05T11:46:10.049+02:00uwezo wa kufikiri umepungua......roho ya ubinadamu...uwezo wa kufikiri umepungua......roho ya ubinadamu inapepea......kuuana inakuwa ni kitu cha kawaida kabisa.....kwanini lakini?????/<br /><br />imeniuma sana hii issueInterestedtipshttps://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-52947947064019460412012-09-04T22:30:32.354+02:002012-09-04T22:30:32.354+02:00Naweza nikasema nakubaliana na mwenyekiti hapo juu...Naweza nikasema nakubaliana na mwenyekiti hapo juu hicho alichoandika. Ni kweli Watanzania bado hatujafunguka.. nimependa sentensi hii nanukuu "Unaweza kukutana na Mtanzania mwenzako ukamwuliza; " E bwana ee, unafikiri nini juu ya jambo hili?". Jibu lake; " Kwani wewe unaonaje?"- Ni moja ya maswali yenye kuashiria anaykujibu swali lako amechoka kufikiri." mwisho wa kunukuu..Hivi kwa nini tupo hivi?..<br />Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com