tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post8502570052121184703..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: JINSI TUNAVYOSONGEKA KIMAISHAYasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-80931811668218328772016-03-23T11:55:23.648+01:002016-03-23T11:55:23.648+01:00Kaka Ray...ama kweli misongo inazidi kwa kasi mno ...Kaka Ray...ama kweli misongo inazidi kwa kasi mno kama ulivyosema ni MUHIMU SANA KUTIANA MOYO na chochote kinachokusibu usisite kumweleza aliye karibu nawe maana ukizidi kukaa nalo moyoni itakuumiza tu na hata mwisho Wake kuishia kupoteza maisha. TUWE WAWAZI.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-22865977937938088222016-03-22T13:22:45.557+01:002016-03-22T13:22:45.557+01:00Hivi karibuni nilikutana na kijana mmoja kutoka Bu...Hivi karibuni nilikutana na kijana mmoja kutoka Bukoba na anieleza mambo ya kutisha aliyokutana nayo katika msongo wa maisha.Tunaishi na misongo ya maisha na kila mmoja wetu anahitaji kitia moyo kutoka kwa mwenzake.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.com