tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post8164913322900482029..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: MMMHHH! NINGEPENDA MLO HUU UWE MLO WANGU WA MCHANA WA LEO LAKINI....Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-2580932464200780742014-03-29T17:16:32.405+01:002014-03-29T17:16:32.405+01:00Kaks Salumu...nimefurshi kama umetafuna tafuna...:...Kaks Salumu...nimefurshi kama umetafuna tafuna...:-D<br /><br />Ndugu yangu usiye na jina....yaani wewe acha tu. Mtu kwao. Nikipata tu unga ntakutonya ili tuutwange ugali..<br /><br />Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-31499670690592187422014-03-29T13:45:36.359+01:002014-03-29T13:45:36.359+01:00Jamani jamani jamani Yasinta, ndio nini hicho? Mbo...Jamani jamani jamani Yasinta, ndio nini hicho? Mbona umenitamaisha sana sana! Yaani nasikia njaa kaaaaaaaali sana, baada tu ya kuona na kusoma picha. Sasa tutafanyaje? Maana sasa umechokoza tumbo langu na wakati siwezi kukipata hicho chakula. Haya ukipata unga nijulishe lini utasonga ugali nije kujichana huko kwako. Hapa nikiwa nahamu sana ya ugali nanunua wa njano tu! Ama kweli nyumbani kuna vyakula vizuri sana, halafu ile harufu ya ugali wa nyumbani unajua tofauti na wa huku! Ladha nayo. Jamani lini twaenda Tz? endelea kutuwekea vyakula alau twala kwa macho. Ubarikiwe sana na mchana mwema.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-19614182678464962742014-03-29T01:52:19.978+01:002014-03-29T01:52:19.978+01:00Wallahi nimetafuna hiyo kitu (Ugali na samakimkaan...Wallahi nimetafuna hiyo kitu (Ugali na samakimkaango rojorojo)jana, lakini si samaki nchanga! By Salumu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-41980875634300439562014-03-28T21:49:25.800+01:002014-03-28T21:49:25.800+01:00Ahsante KACHIKI..yapo alo ila ugali wake si mtamu....Ahsante KACHIKI..yapo alo ila ugali wake si mtamu...nitaenda kesho kutafuta..kstika mafuka ya Afrika/Arab :-DYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-7217388539876511272014-03-28T21:29:07.301+01:002014-03-28T21:29:07.301+01:00Pole sana KADALA, Kwani huko kwenu hakuna African/...Pole sana KADALA, Kwani huko kwenu hakuna African/Indian shops yanayouza Unga wa Ugali?Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-29171906269813560252014-03-28T21:28:38.719+01:002014-03-28T21:28:38.719+01:00Pole sana KADALA, Kwani huko kwenu hakuna African/...Pole sana KADALA, Kwani huko kwenu hakuna African/Indian shops yanayouza Unga wa Ugali?Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.com