tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post7735917860919623653..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: MSIONE KIMYA NIPO...NIPO KAMA NILIVYOSEMA LIKIZO AMBAO MUDA MZURI KUWA NA FAMILIA....NIPO!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-30167688976792104822014-08-14T07:24:12.657+02:002014-08-14T07:24:12.657+02:00Hongera, nimekimic kijiwe hiki so muuch, unajua fb...Hongera, nimekimic kijiwe hiki so muuch, unajua fb, unatulemaza sana, lkn ndio hivyo tupo pamoja mpendwa
emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-5251531984612480732014-08-11T21:25:14.848+02:002014-08-11T21:25:14.848+02:00Dada mkuu msaidizi...nilikuwa huko sasa nipo hapa ...Dada mkuu msaidizi...nilikuwa huko sasa nipo hapa na likizo imeisha jumatano kazi kama kawa tena....Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-24991667510798041942014-08-11T19:55:47.930+02:002014-08-11T19:55:47.930+02:00Kumbe upo huko! Uwe na likizo njema..Kumbe upo huko! Uwe na likizo njema..Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-82362519482994013902014-08-11T15:04:08.913+02:002014-08-11T15:04:08.913+02:00Kaka Yangu Che Jiah! wala usikonde siwezi kusahau ...Kaka Yangu Che Jiah! wala usikonde siwezi kusahau nyumbani hata siku moja si unajua msahau kwao ni mtumwa.. Na ahsante...kuibiwa si rahisi:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-39792204169048632782014-08-11T14:56:41.788+02:002014-08-11T14:56:41.788+02:00HONGERADADA SAFARI YA NYUMBANI LINI KUMBUKANYUMBAN...HONGERADADA SAFARI YA NYUMBANI LINI KUMBUKANYUMBANI NI NYUMBANI

KUWA NA SIKU NJEMA UMEPENDEZAAAAA ANGALIA SHEMEJI ASIIBIWE

CHE JIAHnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-2436993983353088712014-08-11T10:28:46.468+02:002014-08-11T10:28:46.468+02:00Mama A! Ulichokisema ni kweli kabisa...ahsante. ku...Mama A! Ulichokisema ni kweli kabisa...ahsante. kuhusu kugawana elimu usihofu itakuja.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-34176410846513915072014-08-11T06:02:20.828+02:002014-08-11T06:02:20.828+02:00Hongera sana dada kwa mapumziko, kwani kupumzika n...Hongera sana dada kwa mapumziko, kwani kupumzika ni vema sana kwa maisha yetu.....karibu tena ushee nasi uliyojifunza mapumzikoniInterestedtipshttps://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-42885189548746137432014-08-10T22:49:51.678+02:002014-08-10T22:49:51.678+02:00Ahsante kunimiss!...Kachiki ww yaani nimecheka had...Ahsante kunimiss!...Kachiki ww yaani nimecheka hadi chozi eti mashavu yamenona...kaaaazi kwelikweli...Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-73096901233530373862014-08-10T19:50:07.935+02:002014-08-10T19:50:07.935+02:00Duh..nilikumiss sana dada Kadala wangu...Karibu te...Duh..nilikumiss sana dada Kadala wangu...Karibu tena..Natumai ulikuwa na wakati mzuri,mapumziko na Familia...
Mpaka mashavu yamenona..Mwehhh kupumzika ni Afya!!!!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.com