tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post7461667828045007864..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: WAKATI WA KUVUNA UMEFIKA SASA YAANI MPAKA RAHA NI KUTOKA TU NJE NA KUCHUMA/KUCHUKUA NA KULA:-)Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-65563296701810335902013-08-13T09:49:07.815+02:002013-08-13T09:49:07.815+02:00Dada Yasinta hongera sana ila kama ungepunguzia ma...Dada Yasinta hongera sana ila kama ungepunguzia matawi nyanya zako zingekuwa kubwa zaidi, mbolea yako imeliwa na matawi usiyoyahitaji next time you will do your bestBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-87229570262722871692013-08-07T20:40:05.535+02:002013-08-07T20:40:05.535+02:00Kaka Ray! Ahsante kwa kunitia moyo.
Usiye na jina...Kaka Ray! Ahsante kwa kunitia moyo.

Usiye na jina wa 4.44 pm karibu sana sana. Viazii mviringo bado vipo ila wahi.

Na usiye na jina wa 4.46pm ahsante nazidi kupata moyoYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-72385981246715864852013-08-07T16:46:24.702+02:002013-08-07T16:46:24.702+02:00Da Yasinta yani bustani imependeza sana sana! hong...Da Yasinta yani bustani imependeza sana sana! hongera kwa kilimo kwanza mana unakipa kipaumbelea kilimo hadi raha, ukizingatia kuwa unaishi ulaya. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-12200729663420324742013-08-07T16:44:06.167+02:002013-08-07T16:44:06.167+02:00Hongera sana Yasinta. Duh nadhani sasa itabidi nij...Hongera sana Yasinta. Duh nadhani sasa itabidi nije kwa kweli hali ni ngumu kuvumilia hayo mazao ya shambani kwako. Tutajumuika wote karibuni ila naukiulizia vipi vile viazi mviringo vipo au vimeisha? Siku njema. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-35312113811553482542013-08-07T16:25:59.126+02:002013-08-07T16:25:59.126+02:00Honera sana Yasinta kwa kuthibisha kuwa wewe ni mk...Honera sana Yasinta kwa kuthibisha kuwa wewe ni mkulima bora sana.Karibu sana kwenye sikukuu ya wakulima ya nane hapa Tanzania.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-42718348103747278532013-08-07T14:12:13.825+02:002013-08-07T14:12:13.825+02:00Nancy! Njoo ndugu yangu...karibu sana
Kachiki...a...Nancy! Njoo ndugu yangu...karibu sana
Kachiki...ahsante Alo kawimbo katamu ako
Salumu ! Ahsante kakangu...hahahaaaaa umenichekesha kuhusu mapapai labda nanasiYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-76146715126783183112013-08-07T13:26:27.790+02:002013-08-07T13:26:27.790+02:00Hongera da Yasinta. Tunakuombea mafanikio zaidi.Na...Hongera da Yasinta. Tunakuombea mafanikio zaidi.Natumaini tutakula na mapapai pia. By SalumuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-30234325694759496602013-08-07T11:58:01.881+02:002013-08-07T11:58:01.881+02:00Shambani Shambani. Mazao bora shambaaaaani. ..Hong...Shambani Shambani. Mazao bora shambaaaaani. ..Hongera sana kadala wa mimi. Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-91122661796539212252013-08-07T09:27:01.624+02:002013-08-07T09:27:01.624+02:00Dah cjui ntafanyaje, natamania kweli. Hongera Da y...Dah cjui ntafanyaje, natamania kweli. Hongera Da yasinta.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/12062236744185788949noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-34981825017488289562013-08-07T09:26:59.076+02:002013-08-07T09:26:59.076+02:00Dah cjui ntafanyaje, natamania kweli. Hongera Da y...Dah cjui ntafanyaje, natamania kweli. Hongera Da yasinta.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/12062236744185788949noreply@blogger.com