tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post7111235012914111385..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: JINSI WATOTO WA KIKE WANAVYOJIFUNZA MAISHA ...Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-49402621801795609052012-12-11T20:51:57.808+01:002012-12-11T20:51:57.808+01:00Dada P! Yaani umesema kweli kabisa miaka ile mtoto...Dada P! Yaani umesema kweli kabisa miaka ile mtoto wa miaka 6 anaweza kusonga ugali kabisa wa kula familia yote lakini sasa hata kukaanga yai sifuri kabisa...

Kaka Salehe ni kweli watoto wa siku hizi hata kucheza michezo hakuna wao na simu pia kompyuta tu..ila inauma kwa kweli.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-21806519189917061242012-12-10T15:24:23.038+01:002012-12-10T15:24:23.038+01:00Siku hizi wazazi wengi tunalea watoto wetu kidot ....Siku hizi wazazi wengi tunalea watoto wetu kidot .Com,then tunakuwa wa kwanza kulalamika na kulaumu kuwa watoto wa siku wanamatatizo abc,wakati tumetoka katika mstari wa malezi mema ya watoto,

Kazi za watoto wanadai ajira za watoto kazi kwelikweli.Salehe Msandanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-53600591761013215662012-12-07T09:20:03.241+01:002012-12-07T09:20:03.241+01:00Binafsi haya maisha nayafagilia sana, kwa sababu m...Binafsi haya maisha nayafagilia sana, kwa sababu mtoto wa kike unakuwa ukijiamini, mama akienda shambani hana wasi wasi atakuta umefagia nyumba umepikia watoto uji/chakula, maji umeteka na jioni unajiandaa kwenda kukusanya kuni (hasa wakati wa likizo). hivyo hata ikifika muda unapata nyumba yako unakuwa ni mwanamke kamili.

Utashangaa mabinti wa siku hizi anamaliza STD 7 hajui kusonga ugali,kuisha vyombo, kupika mboga na hata kufua nguo zake mwenyewe, ni aibu kubwa sana hata akiolewa.

penina simonnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-73057370584344565182012-12-06T15:01:39.444+01:002012-12-06T15:01:39.444+01:00Dada mkuu msaidizi! halafu hapo hapo inabidi ukaok...Dada mkuu msaidizi! halafu hapo hapo inabidi ukaokote kuni kwa ajili ya kesho yake kupeleka shule ...sasa hapo kweli kitabu kitafunuliwa kweli??....Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-63150243433920824212012-12-06T14:36:55.522+01:002012-12-06T14:36:55.522+01:00Yaani wee acha tu watoto wa vijijini kazi wanayo h...Yaani wee acha tu watoto wa vijijini kazi wanayo hawana pakupumzikia, wakienda shule walimu wanawatuma wakawatekee maji, wakirudi nyumbani ndo balaa..

Duuh..Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.com