tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post668129096886336057..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: ELIMU:- WIZARA YA ELIMU MPO...WANAFUNZI WANASOMA KATIKA WAKATI MGUMU NA WALIMU KUFUNDISHA KATIKA MAZING MAZINGIRA MAGUMU...Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-64774881346543049462016-09-10T14:37:34.047+02:002016-09-10T14:37:34.047+02:00Mwal. Mhango kwa kweli inauma na inasikitisha sana...Mwal. Mhango kwa kweli inauma na inasikitisha sana kuona mpaka leo bado nchi yetu ipo hivyo....Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-84387909432227201562016-09-08T19:24:40.927+02:002016-09-08T19:24:40.927+02:00Inatisha,inachusha, inasikitisha na kuumiza. Sijui...Inatisha,inachusha, inasikitisha na kuumiza. Sijui kama namna hii Afrika itafika. Kwa wale ambao hatukupitia mazingira haya tumshukuru sana Mungu. Shukruni Zaidi wale ambao watoto wao hawataonja hii dhuluma na mateso. Mungu tusaidie tuondokane na ujinga, umaskini, ufisadi, maradhi, dhuluma, uongo, uganganjaa na upuuzi mwingine vinavyotukwamisha kama bara na watu.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.com