tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post6676132279766070898..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: UNATAKA KUMUACHA MKE MKOROFI? FANYA HIVI.........!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-1805512738198024982012-05-31T16:12:02.570+02:002012-05-31T16:12:02.570+02:00@Umesema kweli Kadala.
Mawasiliano ni nyenzo muhim...@Umesema kweli Kadala.<br />Mawasiliano ni nyenzo muhimu sana katika ndoa na iwapo netiweki ikiwa chini unyumba unabomoka na hitimisho ni:"UKISEMA CHA NINI NA MWENZIO ANASEMA NITAKIPATA LINI?ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-52245028773197507582012-05-30T23:44:31.587+02:002012-05-30T23:44:31.587+02:00Nami nimepita nakujisomea..
Asante kwa maarifa ha...Nami nimepita nakujisomea..<br /><br />Asante kwa maarifa haya dada..Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-89991687456074304412012-05-30T21:12:31.872+02:002012-05-30T21:12:31.872+02:00nyahbingi worrior...Ahsante kwa kupita na kusoma n...nyahbingi worrior...Ahsante kwa kupita na kusoma na pia umeshatoa maoni..<br />Ray ulichosema ni kweli na pia naongezea katika ndoa mawasiliano na uvumilivvu ni muhimu sana.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-1131440313367326942012-05-30T13:26:54.669+02:002012-05-30T13:26:54.669+02:00Ni lazima wenzi wa ndoa wawe waaminifu kwa mmoja n...Ni lazima wenzi wa ndoa wawe waaminifu kwa mmoja na mwenzake. Uzinzi ni dhambi dhidi ya Mungu na dhidi ya mwenzi wa mtu. (Waebrania 13:4) Mahusiano ya kingono nje ya ndoa ndio msingi pekee wa Kimaandiko kwa talaka inayoruhusu mtu aoe au aolewe tena. (Mathayo 19:6-9; Warumi 7:2, 3) Yehova huchukizwa wakati watu wanapotalikana bila misingi ya Kimaandiko na kuoa au kuolewa na mtu mwingine.—Malaki 2:14-16.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-23263209865322645002012-05-30T13:23:53.243+02:002012-05-30T13:23:53.243+02:00Sina maoni ila nimepita na kujisomea.Sina maoni ila nimepita na kujisomea.nyahbingi worrior.https://www.blogger.com/profile/16213059100323353150noreply@blogger.com