tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post6652379747631195178..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: MWANAMKE NA NYUSO ZAKE!!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-41227074841564342142012-01-23T08:39:30.113+01:002012-01-23T08:39:30.113+01:00Wanawake ni mama zetu,wanawake ndiyo wake zetu na ...Wanawake ni mama zetu,wanawake ndiyo wake zetu na wanawake ni dada zetu.Kwa ujumla wanawake ni sehemu muhimu sana katika harakati za maisha na mafanikio ndani ya familia.Salamu kwa wanawake wote popote pale walipo.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-58658352380147803502012-01-22T09:15:30.588+01:002012-01-22T09:15:30.588+01:00Mmmmh!Mmmmh!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-2773178835652289542012-01-21T14:52:37.378+01:002012-01-21T14:52:37.378+01:00Nafikiri mwandishi huyu,yuko sahihi kwa fasihi ali...Nafikiri mwandishi huyu,yuko sahihi kwa fasihi aliyo itumia kumuumba mwanamke anavyo muona yeye. kuhusu neno mwanamke na nyuso zake,kwangu mimi naweza kukubaliana na mwandishi katika upande mmoja nao ni pale mwana mke anapojikuta anaamuliwa kufanya kitu kwa jamii bila yeye kuafiki,kujuwa ,kuaamua na kumfikisha mahalia ambapo tafsiri yake kwa jamii yaweza kuwa kwaza wengi.mfano ukianglia matangazo,yanyo fanywa nawanawake,mengi huwaacha wakionekana na vichupi,naikiaminika kama ndo uzuri.pia kwenye kumbi za burudani,nimwanamke anaye vaa nguo nusu uchi jukwaani nakila mtu aneenda kutizama humwaga sifa kwa mwanamke huyo.hivyo nikweli mwanamke nikinyago ambacho jamii inaweza kukifinyanka ama kukichonga itakavyo. kaka ssam mbogonoreply@blogger.com