tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post6505104203583130447..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: MWONEKANO MPYA WA KAPULYA WENU... WA MWAFRIKA HALISI KABISA...Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-87238638479604210332016-08-11T11:59:58.289+02:002016-08-11T11:59:58.289+02:00emu thtree! Ahsante...Unajua ni juzi tu ilikutana ...emu thtree! Ahsante...Unajua ni juzi tu ilikutana na mdada mmoja akaniangalia sana kiasi kwamba nikajisikia aibu...nikashindwa kuvumilia kama nilivyo na ukapulya wangu nikamuuliza kulikoni....akasema una mvi lakini unaonekana u msichana mdogo sana ...nilicheka sana...Nawe ndugu yangu unasema ingekuwa enzi hizo ningepewa mamlaka na heshima kwenye vikao...Kaaazi kwelikweli...Pamoja daima.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-81556392725117505792016-08-11T07:45:50.963+02:002016-08-11T07:45:50.963+02:00Hongera, ndugu yangu, ukiona hivyo ujue ule umri w...Hongera, ndugu yangu, ukiona hivyo ujue ule umri wa hekima zaidi umeingia. Enzi hizo wewe unapewa mamlaka na heshima kwenye vikao, lkn huku bongo, kwa hivi sasa ukianza kufikia huo umri unaanza kuogopa...ila nikuambie kitu, Utu uzima dawa. Tupo pamoja<br />emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-44149895191984521882016-08-09T20:21:15.788+02:002016-08-09T20:21:15.788+02:00Kaka Mhango! Ahsante. Macho yako yapo sahihi kabis...Kaka Mhango! Ahsante. Macho yako yapo sahihi kabisa ni muvi. Ahsante tena-:)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-29252484332032147712016-08-09T19:03:30.638+02:002016-08-09T19:03:30.638+02:00Mimi najua siku zote u mwafrika. Sema uko orijino ...Mimi najua siku zote u mwafrika. Sema uko orijino kabisa. Je hiyo ving'aravyo ni mvi au macho yangu?<br />Kwa ujumla umetokelezea na kupendeza dada.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-14982043000850241122016-08-09T17:30:33.558+02:002016-08-09T17:30:33.558+02:00Ka'Salumu...kitambo hujaonekana mie sijambo. A...Ka'Salumu...kitambo hujaonekana mie sijambo. Ahsante kwa mtazamo wako...Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-39254043273834954642016-08-09T16:58:32.984+02:002016-08-09T16:58:32.984+02:00Hujambo da Yasinta? Umependeza kweli kweli. By Sal...Hujambo da Yasinta? Umependeza kweli kweli. By Salumu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-87230289101621035952016-08-09T14:11:54.774+02:002016-08-09T14:11:54.774+02:00Ester mdogo wangu....ahsante.Ila ni mwafrika hali...Ester mdogo wangu....ahsante.Ila ni mwafrika halisi tangia...nilijificha tu labda.<br />Kaka Ray! Mie sijambo. Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-52882998318421155722016-08-09T13:36:53.774+02:002016-08-09T13:36:53.774+02:00Hujambo Yasinta binti Ngonyani?Hujambo Yasinta binti Ngonyani?ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-50560624913652606992016-08-09T11:45:53.025+02:002016-08-09T11:45:53.025+02:00UMEKUWA MWAFRICA HALISI DADAUMEKUWA MWAFRICA HALISI DADAInterestedtipshttps://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.com