tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post6010771627359876871..comments2024-03-15T08:21:27.432+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: MADENGE ATAKA KUMPOSA BIBI YAKE KWA VILE BIBI ANAMWITA MCHUMBA....Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-4520478053130496762016-04-06T15:10:09.499+02:002016-04-06T15:10:09.499+02:00Kaka Mhango ...inabidi ujiandae. Ila kwa kweli kuw...Kaka Mhango ...inabidi ujiandae. Ila kwa kweli kuwa mtoto ni raha sana na pia mara nyingine huwa sijui wanaelewa maana yake ?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-23929278709731168372016-04-06T01:23:44.644+02:002016-04-06T01:23:44.644+02:00Madenge alikuwa bonge ya thinker ambaye alikuwa ma...Madenge alikuwa bonge ya thinker ambaye alikuwa mahiri katika kurahisisha mambo. Unamuwowa mama yangu nami namuwowa mama yako. Utoto kweli raha. Madenge -kama mtoto yeyote -alikuwa na namna yake ya kutathmini na kudurusu mambo. Kuna somo kubwa hapa. Najaribu kufikiri namna nitakavyomjibu kamanda wangu atakaponijia akitaka kumuwowa mama yangu. Nitamjibu kuwa mimi si baba wa mama yangu. Hivyo, siwezi kuwa na comment.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.com