tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post5982383130566548904..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: MWEZI MPYA:- TUANZE HIVI TUSISAHAU KULA MATUNDA NI MUHIMU KWA MIILI YETU!!Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-80922614672509656032012-09-02T12:34:24.010+02:002012-09-02T12:34:24.010+02:00Usiye na jina na pia kaka Ray Ahsanteni kwa kuunga...Usiye na jina na pia kaka Ray Ahsanteni kwa kuungania nami na pia wengine waliopita hapa kimyakimya ahsanteni.
Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-89960803084580042732012-09-01T12:07:50.410+02:002012-09-01T12:07:50.410+02:00
1Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia.
2Du...

1Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia.

2Dunia ilikuwa bila umbo, na ukiwa, na giza lilikuwa juu ya uso wa kilindi cha maji; na nguvu za utendaji za Mungu zilikuwa zikienda huku na huku juu ya uso wa maji.

3Mungu akasema: “Kuwe na nuru.” Kukawa na nuru.4Kisha Mungu akaona ya kuwa nuru ilikuwa nzuri. Mungu akatenganisha nuru na giza.5Mungu akaanza kuiita nuru Mchana, lakini giza akaliita Usiku. Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza.

6Mungu akaendelea kusema: “Kuwe na anga kati ya hayo maji na mtengano uwepo kati ya maji na maji.”7Ndipo Mungu akalifanya anga na kutenganisha maji yaliyo chini ya anga na maji yaliyo juu ya anga. Ikawa hivyo.8Mungu akaanza kuliita anga, Mbingu. Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya pili.

9Mungu akaendelea kusema: “Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, nayo nchi kavu ionekane.” Ikawa hivyo.10Na Mungu akaanza kuiita hiyo nchi kavu Dunia, lakini mkusanyiko wa maji akauita Bahari. Kisha Mungu akaona ya kuwa ilikuwa vyema.11Mungu akaendelea kusema: “Dunia na itoe majani, mimea inayozaa mbegu, miti ya matunda inayozaa matunda kulingana na aina zake, ambayo mbegu yake imo ndani yake, juu ya nchi.” Ikawa hivyo.12Nayo dunia ikaanza kutokeza majani, mimea inayozaa mbegu kulingana na aina yake na miti inayozaa matunda, ambayo mbegu yake imo ndani yake kulingana na aina yake. Kisha Mungu akaona ya kuwa ilikuwa vyema_Mwanzo 1:1-12ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-72458401754138788762012-09-01T11:14:37.563+02:002012-09-01T11:14:37.563+02:00Yasinta, asante kutupa elimu ya umuhimu wa kula ma...Yasinta, asante kutupa elimu ya umuhimu wa kula matunda. Watu wakubwa wengi hawatilii maanani ulaji wa matunda kabisa hasa nyumbani TZ. Sijui ni kutojua umuhimu wake? Au ni uzembe tu mtu akijishibia ugali wake au ubwabwa haoni sababu tena ya tunda? au wanaamini kwenye heavy diet na matunda yanaonekana kama kitu kidogo sana ila umuhimu wake ni mkubwa sana hata kuliko ugali/ wali nk.Au ni kuwa yana bei kubwa hasa sehemu za mijini kama Dar na kwingineko. Kosa vitamin mwilini hayo magonjwa sasa? Tunapougua mafua unaambiwa kale matunda kwa wingi tena na juice za matunda pia, nk.Nadhani tunahitaji elimu ya ktosha kuhusu umuhimu wa kula matunda hasa kwa sisi wa TZ. Anonymousnoreply@blogger.com