tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post594870500786193875..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: MADONGA/NATURAL TROPICAL FOREST FRUITS......Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-7392850374724771822016-10-21T13:59:55.413+02:002016-10-21T13:59:55.413+02:00Asee haya matunda yanapatikana sana huko songea ma...Asee haya matunda yanapatikana sana huko songea maeneo ya lilondo ni mazur sana nimefika Tabora nimeyakuta nimenunua ndo nakula sasa hivi hapa Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-75366682507786465542012-03-04T00:33:05.926+01:002012-03-04T00:33:05.926+01:00Ni kweli kabisa utamu wake uyafuate polini. mlongo...Ni kweli kabisa utamu wake uyafuate polini. mlongo umenikumbusha mbali sana sana sikuweza kuacha kucheka mala tu nilivyoiona hii picha ya madonga. we acha tu kwakweli tumetoka mbali. Asante mlongo ubarikiwe sanaNampangalanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-16939924665271316492012-03-02T15:33:09.112+01:002012-03-02T15:33:09.112+01:00Kaka Sam! Kuishi kijijini ni urithi mzuri sana na ...Kaka Sam! Kuishi kijijini ni urithi mzuri sana na ni kufaidi vitu/vyakula vingi sana vya asili..na halafu unakuwa na afaya njema na ngangali nayakumbuka sana maisha yale...Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-17840467890542024542012-02-29T18:29:01.203+01:002012-02-29T18:29:01.203+01:00Matunda utamu wake uya fuate porini. mfano sisi t...Matunda utamu wake uya fuate porini. mfano sisi tuliokulia kijijini kipengere cha kutafuta kuni mnakuwa wengi tu mchanganyiko wavulana na wasichana,porini panakuwa hapatoshi!!,we acha tu Yasinta umekumbusha mbali sana. kaka s.sam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-996262895123146342012-02-29T17:35:59.242+01:002012-02-29T17:35:59.242+01:00Batamwa Kwanza karibu sana. Pili nafurahi kama ume...Batamwa Kwanza karibu sana. Pili nafurahi kama umeweza kurudi nyuma enzi za uajana..nahisi nami nimekumbuka hivyo pia.

Simon! kumbe umeyaanja eeh! pole na dada kwa kukosa uhondo...Simon nadhani ilikuwa hivyo tunda walilokula Adamu na Eva ni TUNDA LA ASILI
Rachel! Yaani utayapenda na hutaonja tu utakula mpaka kuvimbiwa nakuambia:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-56158441833331086212012-02-29T17:02:29.416+01:002012-02-29T17:02:29.416+01:00Nitafanya hivyo dada yangu, ili nami nionje,@kaka ...Nitafanya hivyo dada yangu, ili nami nionje,@kaka wa mimi KITURURU mwanaaa Tunda walilokula Adam na Hawa? TehtehthetheteeeeeeeeeeeeeeeeeeeRachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-62850398806210398672012-02-29T16:48:24.658+01:002012-02-29T16:48:24.658+01:00Matunda matamu haya ila DADA yangu akila haya ana...Matunda matamu haya ila DADA yangu akila haya anavimba!

Katika uchokozi:
Hivi ni tunda la asili walilokula Adamu na Hawa?Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-71288656015300529842012-02-29T15:25:11.281+01:002012-02-29T15:25:11.281+01:00yaani katika watu wanaoturudisha enzi za ujana ni ...yaani katika watu wanaoturudisha enzi za ujana ni wewe dada yasinta ubarikiwe sanabatamwanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-25956997104036383302012-02-29T14:26:42.222+01:002012-02-29T14:26:42.222+01:00Rachel! fuatana nami siku yake tukaokote kuni hala...Rachel! fuatana nami siku yake tukaokote kuni halafu uone kama utarudi mapema:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-86088645865140380682012-02-29T14:22:30.896+01:002012-02-29T14:22:30.896+01:00Mimi sijawahi kula da'Yasinta,lakini natamani ...Mimi sijawahi kula da'Yasinta,lakini natamani nionje.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.com