tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post5865252521585649827..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: JUMAPILI YA LEO HALI YA HEWA ILIKUWA HIVI, KWANGU MIMI NAWEZA NIKASEMA HALI YA HEWA IMECHAFUKA.....BARIDI -10C...HAPA BAADHI YA PICHA NILINASA LEOYasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-31449590443126664362014-01-18T19:00:33.420+01:002014-01-18T19:00:33.420+01:00Najua Mwal. Kula mafuta ovyo na hasa aina isiyotak...Najua Mwal. Kula mafuta ovyo na hasa aina isiyotakiwa unaweza kuvimba kama tembo na kujitafutuia mengine. Hivi niwapi Upo?..Huko naona nikija nitakauka kabisa..Ila kwa vile napenda chai sana ningestahimili...Alo poleni sana!!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-17819512692218028042014-01-18T17:53:19.574+01:002014-01-18T17:53:19.574+01:00Yes inabidi ule mafuta ila uwe makini ni aina gani...Yes inabidi ule mafuta ila uwe makini ni aina gani na kiasi gani vinginevyo utanenepa na kuanzisha balaa jingine. Tunajitahidi kunywa vitu vya moto na kukaa ndani ili kuepuka kubukanya. Huku watu kufa kutokana baridi ni jambo la kawaida hasa kwa wale wanaojikuta kwenye mazingira kama vile ajali ambapo msaada unachelewa au kutofika kabisa.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-11658156448555182292014-01-18T15:25:11.439+01:002014-01-18T15:25:11.439+01:00Duh! Ama kweli maisha haya kaaazi kwelikweli..yaan...Duh! Ama kweli maisha haya kaaazi kwelikweli..yaani napata picha ya hiyo -40C maana hapa kusini ni hali hiyo...na mwaka mmoja ilikuwa hapa nilipo eehh bwana weeeh pua iliganda na mikono ndo kabisa na nikahisi sina vidole vyote vya miguuni na mikononi...kwa hiyo kwa mtindo huo vyakula inabidi viwe vya mafuta mafuta zaidi au?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-65467392674580952322014-01-18T03:26:44.069+01:002014-01-18T03:26:44.069+01:00Hiyo -70 C ni kujumlisha na windchill lakini bado ...Hiyo -70 C ni kujumlisha na windchill lakini bado tunatoka. Unachumpa toka kwenye nyumba na kuingia kwenye gari vinginevyo huwezi kuhimili zaidi ya dakika kumi kabla hujaganda. Pia miili yetu inaanza kuzoea kutokana na mavazi na vyakula tunavyokula. Huwezi kuamini kifaru changu kinatumia mara mbili ya mafuta zaidi ya kawaida yake kutokana na ku-iddle na kutumia mkaa wa mchina kwa sana. Wajua kifaru chenyewe nipendacho kutumia ni Toyota Yaris?Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-31491667008665243212014-01-17T23:49:33.337+01:002014-01-17T23:49:33.337+01:00Mwal. Mhango, umenichekesha..labda niharibu kesho ...Mwal. Mhango, umenichekesha..labda niharibu kesho kukimbia. Ila duh -40C ni baridi kali hadi pua inaungua..na hiyo -70C mnatoka nje kweli?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-79172373283185854612014-01-17T22:17:17.971+01:002014-01-17T22:17:17.971+01:00Huku nilipo joto kama hilo ni la kufanya mazoezi. ...Huku nilipo joto kama hilo ni la kufanya mazoezi. Kwani tunakwenda hadi -40C ukiongoza na windchill wakati mwingine tunajikuta kwenye -70CNdugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-56619259797844886902014-01-14T07:59:57.918+01:002014-01-14T07:59:57.918+01:00Shem Kajuna ! Kheri na joto waweza kupunzika kivul...Shem Kajuna ! Kheri na joto waweza kupunzika kivulini pia kwensa baharini na kytoa jasho...Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-24039606178538397062014-01-14T06:18:35.530+01:002014-01-14T06:18:35.530+01:00Pole sana shemejiiiiii.... Tuliopo Dar tunakomaa n...Pole sana shemejiiiiii.... Tuliopo Dar tunakomaa na joto la 37cKajunasonhttps://www.blogger.com/profile/04962810485552817012noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-48997569570887261652014-01-12T16:27:15.716+01:002014-01-12T16:27:15.716+01:00Hahaaaa kaka Salumu!...hiyo vodka mbona ntakauka.....Hahaaaa kaka Salumu!...hiyo vodka mbona ntakauka...nakunywa CHAI . Ahsante kwa pole...maana miguu yangu bado imeganda mpaka sasa...Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-55846822177616723262014-01-12T15:24:29.175+01:002014-01-12T15:24:29.175+01:00Pole da Yasinta na baridi ya huko! Lakini si wana ...Pole da Yasinta na baridi ya huko! Lakini si wana gongo yao inayoitwa vodka, ukinywa kidogo itakusaidia. By Salumu.Anonymousnoreply@blogger.com